WAKULIMA WADOGO WA LUMBIJI wanashiriki katika kilimo cha mazao mbalimbali kama vile:-
-MAHINDI

-MIHOGO

-MIWA

-VIAZI VITAMU

-MBAAZI
-MAHARAGE
-MPUNGA
-KARANGA
-MTAMA
-TANGAWIZI
-KARANGA
-TANGAWIZI
MAHARAGE
Kwa wakulima wa Lumbiji wanatumia Maharage kama zao la biashara.Zao hili linalimwa kwa misimu Miwili (2) mikuu na msimu mmoja(1) ambao ni mdogo.
MISIMU MIKUU:
1.MSIMU WA KWANZA NI:-
Msimu wa kilimo cha Mabondeni ambao wakulima huandaa mashamba yao kati ya mwezi wa sita (6) hadi wa nane (8) pamoja na kupanda.Mavuno ya msimu huu huvunwa kati ya mwezi wa kumi na moja(11) hadi mwezi wa kwanza mwaka unafuata.
2.MSIMU WA PILI NI:-
Msimu wa kilimo cha Milimani ambao wakulima huandaa mashamba yao kati ya Mwezi wa pili
(2) hadi mwezi wa tatu(3) pamoja na kupanda.Mavuno ya msimu huu huvunwa kati ya mwezi wa Tano mwishoni na wa saba kwa mwaka huohuo.
3.MSIMU MDOGO huu huitwa msimu wa mwaka wakulima huwa wanapanda mwezi wa 11 na 12 na huvunwa kati ya mwezi wa kwanza na wa pili mwaka unaofuata
MAHINDI
Kwa wananchi wa Lumbiji wanatumia mahindi kama zao lao kuu kwaajili ya chakula mara nyingi hupandwa kati ya mwezi wa 12 na wa kwanza na kuvunwa mwezi wa nne na wa tano.
mbona msimu wa tangawizi haujauelezea?
ReplyDeleteMalizia basi