Sunday, 23 February 2014

Lumbiji (Tanzania)

Is a a city, town, village, or other agglomeration of buildings where people live and work in the country of Tanzania.
Its center lies at a latitude of -6.6166700 and longitude of 36.9833300and it has an elevation of 890 meters above sea level.
Its currency is the Shilling (TZS),
Weather

Current weather

Measurments taken at February 23, 2014 from Morogoro
Clouds: few clouds
Temperture: 31 C
windSpeed: 00 km/H
Share:

Friday, 21 February 2014

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 SHULE YA SEKONDARI LUMBIJI HAYA HAPA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_DXLM2vBsqUfE67VWI3a291zSE87Yxjz4sAMe2J067c7ICn4VMZu1Ak38FHhF5yDH1QsHgImTMmyf8kiCSxhj4U-AritmV0JtPB0uylq8agvKBafCcEGJDSahzqFxhmFSnJipsDMUClU/s1600/necta2012.jpg
Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013. Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).

MATOKEO YA LUMBIJI BONYEZA <<<<<<<HAPAAAAAAAAA>>>>>
Share:

Wednesday, 12 February 2014

KISONGWE WAASWA KUTOCHOMA MASHAMBA

 WAKULIMA wadogo wa Kijiji cha Kisongwe, katika Kata ya Lumbiji wilayani Kilosa wameshauriwa kuacha kuchoma mabaki na takataka za mazao katika mashamba yao wakati wa msimu mpya wa kilimo na badala yake watumie takataka hizo kama mbolea ili kuhifadhi na kuzuia mmomonyoko wa udongo.
Akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Kisongwe, Afisa Ugharibishaji wa Shirika lisilo la Kiserikali linalojishughulisha na mabadiliko ya tabia nchi MJUMITA, Jackline Tesha, alisema ili wananchi hao waweze kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ni lazima waachane na kilimo cha uharibifu.
Tesha alifafanua kwamba wakulima hao wadogo iwapo watakuwa na tabia ya kutumia takataka zilizopo shambani kama mbolea,itasaidia kuongeza mazao shambani na kupata mavuno ya uhakika lakini pia itakuwa inalinda uharibifu wa mazingira.


GAZETI LA MAJIRA

Share:

Popular Posts

Copyright © LUMBIJI KWETU | Powered by Blogger Design by Yuvinusm