Saturday, 2 November 2013

YAFUATAYO NI MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA MSINGI KATA YA LUMBIJI 2013.

 

Imeelezwa kuwa ufaulu wa mtihani wa kumaliza darasa la saba kwa mwaka 2013 umepanda kwa masomo yote kwa asilimia 19.89 ikilinganishwa na ilivyokuwa kwa mwaka uliopita.
Kwamba, wakati mwaka jana wahitimu waliopata asilimia 100 walikuwa asilimia 30.72, mwaka huu wameongezeka kuwa asilimia 50.61. Pia, somo ambalo watahiniwa hao wamefaulu zaidi katika mtihani wao ni  Kiswahili ambapo ufaulu ni 


asilimia 69.06 huku wakiwa wamefeli zaidi kwenye somo la Hisabati ambalo ufaulu upo chini kwa asilimia 28.62.

Share:

Popular Posts

Copyright © LUMBIJI KWETU | Powered by Blogger Design by Yuvinusm