Hizi ni baadhi tu ya picha zilizopigwa kwenye mahafali ya darasa la saba-shule ya msingi Lumbiji. Mgeni rasmi katika sherehe hiyo alikuwa Menance Mhombwe.
Wanafunzi wakiwa wamejipanga tayari kumpokea mgeni rasmi kwenye mahafali hayoBaadhi ya wanafunzi wanaobaki wakiwa wameketi kusubiri kuanza kwa sherehe
Hawa ndio wahitimu wa darasa la saba wakiwa wameketi kwenye madawati huku sherehe ikiendelea
Wahitimu wakiimba nyimbo Mbele ya mgeni rasmi
Wahitimu wakiimba shairi
Picha za pamoja-Wahitimu pamoja na mgeni rasmi- MH. Menance Mhombwe
TUTAWALETEA PICHA ZAIDI








0 comments:
Post a Comment