Saturday, 20 December 2014

DED advises Kilosa villagers to adopt 'smart agriculture' for more productivity

 
Kilosa District authorities have commended initiatives taken by five nongovernmental organisations to improve agricultural production in the district through ‘climate smart agriculture’.

The organisations are Tanzania Forest Conservation Group (TFCG), National Network of Farmers’ groups in Tanzania (Mviwata), ActionAid Tanzania, Community Forest Conservation Network (Mjumita), and the Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM).

Speaking during amedia outreach programme, Kilosa District Executive Director Masalu Gilihe said that there was a need to sustain and duplicate the new system of agriculture to other areas to increase food production.

He said however that it will depend on the availability of funds so that all villages can benefit from the new system. The new methods of farming involve spacing, minimal tillage, use of compost pit, animal manure and remains of crops which are covered on the soil to decompose and increase moisture and soil fertility.

“I urge the villagers through their leaders to make sure that they use the little resources they have to start the new agricultural system. The government is making every possible means to support their efforts,” he said.

The new agricultural system is being piloted in three villages of Kisongwe, Ibingu and Lunenzi in the district. For their part, the villagers said the new farming methods have enabled them to double production and they are now investing in other projects like poultry.

Chairman of Faraja group which has 30 members with demonstration farm at Kisongwe village, Lumbiji ward in the district, Israel Matei said that the training received has also helped them to conserve the environment and natural resources.

For her part, a farmer Leonia Michael said that the effects of climate change especially drought had discouraged many farmers but since they received new farming methods, they were sure of increasing production. “I call upon the farmers from other villages to ensure that they borrow a leaf from our new system of agriculture so that they can get more food,” she said.

For his part, the Chairman of Kisongwe village, Laurian Mkuchu advises the villagers to unite and form associations to demand better prices for their crops.

“We expect production to double this year. This means that we shall need more markets for our crops. In order to control the market prices, we need a strong voice, and we need to form associations,” he said.

The Project Officer, Regina Mathias, from Tanzania Forest Conservation Group urged the farmers to transmit the new methods of farming received to other villagers so as to have a big impact.

Commenting on the project, project agricultural officers, Ernest Jerome from TFCG and Amanzi Amanzi from Mviwata said that many villagers are now adopting the new agricultural system and after realising its benefits.
“We started with very few farmers, but today we have so many groups and each group has 30 members. Many other farmers are still joining on daily basis,” the former said. 
SOURCE: THE GUARDIAN
Share:

Wakulima walalamikia Lumbesa, Makokoro

 
Kilosa. Wakulima wa vijiji vya Ibingu na Kisongwe, Kata ya Lumbiji wilayani hapa wamelalamikia kukithiri kwa vitendo vya wafanyabiashara kununua mazao kwa kutumia vipimo visivyokubalika kisheria.
Malalamiko hayo waliyatoa mjini hapa jana kwa nyakati tofauti na kuongeza kuwa licha ya vipimo hivyo, ambavyo ni Lumbesa na Makokoro, kupigwa marufuku, bado vinaendelea.
Walisema wanunuzi hao wamekuwa wakienda katika maeneo ya vijiji hivyo na kutaka kuuziwa mahindi na mpunga kwenye magunia yaliyojazwa kupita uzito wa kawaida wa kilo 100.
Mmoja wa wakulima hao ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Kisongwe, Cecilia Simon alisema kuwa ni vyema Serikali ikaingilia kati tatizo hilo ili wafanyabiashara hao wasiendelee kuwanyonya wakulima wakati wanaponunua mazao.
Alisema ununuzi wa mazao hayo kwa kutumia vipimo hivyo hauwanufaishi wakulima ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa na muda mrefu katika kuzalisha, badala yake huwapa faida wafanyabiashara.
Simon aliitaka Serikali kuwachukulia hatua watakaobainika kukiuka utaratibu na kutumia vipimo hivyo.
“Tunaiomba Serikali iendelee kusimamia na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wanaowalaghai wananchi,” alisema Simon.
Mkazi wa Kijiji cha Ibingu, Patrick Machemba aliiomba Serikali na wadau wengine wa maendeleo kuwafundisha mbinu bora za usindikaji wa mazao yao ili wayaongezee thamani.
Mwakilishi wa Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (Mjumita), Elida Fundi alisema Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG) na mtandao huo wanaangalia uwezekano wa kuwapatia wakulima mbinu bora za kilimo.

chanzo:Mwananchi
Share:

Walima maharage Kilosa kunufaika rafiki

 ZAO LA VIAZI VITAMU
Kilosa. Wakulima wadogo wa maharage katika kijiji cha Kisongwe Kata ya Lumbiji, Wilaya ya Kilosa wameanza kunufaika mafunzo ya kilimo rafiki ambacho hakitaharibu mazingira na kuwaongezea kipato katika familia.
Wakizungumzia faida wanayotarajia kuipata baada ya kupatiwa elimu ya kilimo rafiki iliyotolewa na Shirika TFCG kupitia mradi wa mabadiliko ya tabianchi,wakulima hao walisema kutokana na elimu hiyo waliyoipata wanatarajia kuendesha kilimo chenye mavuno mengi na chenye kuhifadhi mazingira.
Veronica Solomoni ambaye ni mmoja wa wakulima wa maharage alisema kabla ya elimu hiyo walikuwa wanatumia kilimo cha kuchoma moto kilichokuwa kikiharibu ardhi na kusababisha ukame, na kuiomba Serikali iwajali katika kuwapatia pembejeo za kilimo mapema ili waende sambamba na msimu wa kilimo.
Kwa upande wake Ofisa Mgharibishi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi, kupitia kilimo rafiki, Jackline Tesha na Ofisa Kilimo kutoka Mtandao wa Mjumita, Ernest Jerome walisema mradi unalenga kumsaidia mkulima mdogo kutoka katika kilimo alichonacho na kumfikisha katika kilimo cha faida ili kumkomboa na kumwongezea kipato.
Ofisa kilimo Wilaya ya Kilosa, Jonas Mboya alisema kuna changamoto nyingi wanakutana nazo katika utoaji wa elimu kwa wakulima kwa kuwa wakulima wengi hawana uelewa juu ya kilimo endelevu na kuendelea kutumia kilimo cha uchomaji moto mashamba.

chanzo: Mwananchi
Share:

Saturday, 8 November 2014

Lumbiji inavyoonekana katika picha za satellite

 Hili ni eneo la Iguga pamoja na Shule ya sekondari Lumbiji
 Hapa ni maeneo ya makazi mengi Kisongwe maeneo ya ofisi ya Kijiji.
 Hapa ni eneo la Mnadani Kisongwe inavyoonekana.
 Hapa ni eneo lote la Kanisani pamoja na Shule ya Msingi Lumbiji



 Mto Lumbiji ulipopita

 Maeneo ya Makombo kama unashuka kwenda Rudewa

 Kirumbi/Kisongwe, njia panda ya Shule ya Msingi Kisongwe na Makombo/kwa Jenga
 Eneo la Shule ya Msingi Kisongwe.
 Muonekano mkubwa wa mbali upande wa Lumbiji
Na picha ya Mwisho ni Wanjeja.
Share:

Wednesday, 5 November 2014

LUMBIJI-Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2014: Kisale watikisa KATA




NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS

MATOKEO HAYA HAPA CHINI.




KWA MATOKEO YA JUMLA YA NCHI NZIMA BONYEZA  HAPA KWA MATOKEO ZAIDI
Share:

Sunday, 26 October 2014

Mradi wa kufuga samaki-Shule ya Msingi Kisale


 
Kushoto ni nyumba ya walimu, kwa mbele ni majengo ya madarasa na kushoto ni uwanja kwaajili ya michezo.
 picha za Bwawa la Kufugia Samaki, hupatikana maeneo ya shule

Kutokana na taarifa za wahusika, wamesema kuwa kuna uwezekano wa kuongeza Bwawa lingine kwani katika sehemu hiyo kuna upatikanaji wa maji bila shida mda wote.
Share:

Tuesday, 14 October 2014

Salam na Methari za kwetu, sikiliza hapa

Hii in moja ya namna ya watu wanavyosalimiana na kutakiana hali pamoja na misemo mbalimbali ndani ya kusalimiana huko.

Sikiliza na Download hapa chini

Image result for download image
Share:

Monday, 13 October 2014

Sikiliza malimba yakipigwa na kuchezwa na nyimbo zake kutoka lumbiji, wanaita Kidugo


Photo: taja aina ya ngoma inayochezwa hapa, kama unaifahamu....admin aliwakuta wanacheza hapa
Bonyeza play hapo chini Usikilize burudani, pia unaweza kudownload ubaki nacho
Share:

Tazama video ya wanafunzi wahitimu Shule ya Msingi Kisale wakicheza ngoma

KWA HAPO CHINI BONYEZA PLAY KUANGALIA
Share:

Picha na video yake kwa wahitimu wa darsa la saba Shule ya msingi Kisale wakicheza ngoma inayojulikana kama-Kabati










 Ngoma ikiendelea kwa furaha kubwa

Mwalimu mkuu shule ya msingi Kisale akipiga picha ya pamoja na wahitimu siku ya mahafari
                                                BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO YAKE 
  Picha,Video  na habari zote na Lumbiji yetu Blog
Share:

Picha kutoka shule ya msingi Kisale-Lumbiji siku ya mahafali ya kumaliza darasa la saba 2014

























BAADHI YA WAGENI WAALIKWA WAKIWA WAMEKETI PAMOJA NA MUWAKILISHI WA MGENI RASMI

WAZAZI NA WALEZI WALIOKUWA WAMEHUDHULIA SHEREHE YA WATOTO WAO YA KUMALIZA SHULE YA MSINGI
Share:

Popular Posts

Copyright © LUMBIJI KWETU | Powered by Blogger Design by Yuvinusm