Tuesday, 15 October 2013

BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI LUMBIJI WAKIKIMBIA MCHAKAMCHAKA.


                                                Wanafunzi wa shule ya msingi Lumbiji.

Kwa kile kinachosemekana kwamba kila asubuhi lazima kuwepo na zoezi kama hilo kwa shule zote Tanzania lakini kwa siku hizi imekuwa vigumu hasa kwa shule za mijini kuendeleza utamaduni huu ambao baba wa taifa Hayati Mwl.Julius K.Nyerere alikuwa na msisitizo nao.Kwa shule ya msingi Lumbiji bado wanaendelea kudumisha utamaduni huu ya kwamba kila siku ya masomo lazima kuwepo na jambo Mchakamchaka...kama uwaonavyo wanafunzi hao walioko pichani.Ni dhahiri kutoa shukrani kwa walimu na walezi wote wanaoendeleza Tamaduni zetu alizotuachia mwalimu Nyerere,hii pia huimarisha misuli ya mwili kwani ni zoezi tosha.
Share:

Tuesday, 1 October 2013

MUONEKANO KWA MBELE WA KANISA KATOLIKI LUMBIJI


Share:

PICHA MBALIMBALI KATIKA KATA YA LUMBIJI

                              MAENEO YA KANISANI NA SHULE YA MSINGI LUMBIJI
Share:

BEI YA MAZAO KUANZIA TAREHE 01/10/2013

 
Bei ya mazao hubadilika kila wakati hivyo kwa sasa mazao na bei zao ni kama ifuatavyo:-


MAHARAGE

-SOYA KWA DEBE NI 22,000/=
-NJANO MFUPI KWA DEBE NI    22,000/=
-NJANO MLEFU KWA DEBE NI  21,000/=
-GOLOLI KWA DEBE NI 20,000/=
Share:

MISITU KATA YA LUMBIJI NI MOJA YA VIVUTIO VINAVYOPATIKANA HUKO.



Kata ya Lumbiji imezungukwa na misitu mingi ambayo pia imekuwa kivutio cha nguvu kwa watu mbalimbali kutembelea sehemu nyingi zinazoizunguka kata hii.
Share:

MUONEKANO MPYA WA SHULE YA SEKONDARI LUMBIJI.


Katika kuhakikisha wananchi wa kata ya Lumbiji wanapata Elimu ya sekondari,Serikali ya kata hiyo inazidi kuboresha shule ya sekondari ambayo ilianza kuchukuwa wanafunzi wa sekondari miaka ya hivi karibuni.
Share:

Popular Posts

Copyright © LUMBIJI KWETU | Powered by Blogger Design by Yuvinusm