Tuesday, 15 October 2013
BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI LUMBIJI WAKIKIMBIA MCHAKAMCHAKA.
Wanafunzi wa shule ya msingi Lumbiji.
Kwa kile kinachosemekana kwamba kila asubuhi lazima kuwepo na zoezi kama hilo kwa shule zote Tanzania lakini kwa siku hizi imekuwa vigumu hasa kwa shule za mijini kuendeleza utamaduni huu ambao baba wa taifa Hayati Mwl.Julius K.Nyerere alikuwa na msisitizo nao.Kwa shule ya msingi Lumbiji bado wanaendelea kudumisha utamaduni huu ya kwamba kila siku ya masomo lazima kuwepo na jambo Mchakamchaka...kama uwaonavyo wanafunzi hao walioko pichani.Ni dhahiri kutoa shukrani kwa walimu na walezi wote wanaoendeleza Tamaduni zetu alizotuachia mwalimu Nyerere,hii pia huimarisha misuli ya mwili kwani ni zoezi tosha.

0 comments:
Post a Comment