Hali ya Utekelezaji wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya Sekondari Lumbiji kupitia mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19
Mradi ukiwa hatua ya kupima eneo tarehe 30/10/2021
Mradi ukiwa hatua ya kuchimba msingi tarehe 01/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga kenchi tarehe 18/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kuezeka tarehe 23/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga plasta na kupachika madirisha tarehe 25-26/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kufanya skimming tarehe 28-29/11/2021