Mradi ukiwa hatua ya kupima eneo tarehe 30/10/2021
Mradi ukiwa hatua ya kuchimba msingi tarehe 01/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga kenchi tarehe 18/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kuezeka tarehe 23/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga plasta na kupachika madirisha tarehe 25-26/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kufanya skimming tarehe 28-29/11/2021
Saturday, 30 October 2021
Hali ya Utekelezaji wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya Sekondari Lumbiji
Hali ya Utekelezaji wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya Sekondari Lumbiji kupitia mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19
0 comments:
Post a Comment