Shule ya Sekondari Lumbiji
Ni tarehe 19/10/2023 ndio siku pekee maalumu iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya wahitimu wa kidato cha nne shule ya sekondari Lumbiji kufanya sherehe yao ya kuhitimu. Ni siku iliyokuwa imechangamka ikiwa na furaha telel Katika mahafari hayo michezo mingi ilikuwepo ikiwemo Kwaya, Mashairi, Ngonjera na vijana Wenye vipaji mbalimbali walionyesha uwezo wao. Baadhi ya picha kwenye hafla hiyo ni hizi zifuatazo.
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
0 comments:
Post a Comment