Kushoto ni nyumba ya walimu, kwa mbele ni majengo ya madarasa na kushoto ni uwanja kwaajili ya michezo.
picha za Bwawa la Kufugia Samaki, hupatikana maeneo ya shule
Kutokana na taarifa za wahusika, wamesema kuwa kuna uwezekano wa kuongeza Bwawa lingine kwani katika sehemu hiyo kuna upatikanaji wa maji bila shida mda wote.




KWA HAPO CHINI BONYEZA PLAY KUANGALIA












MWALIMU MKUU WA SHULE HIYO AKITOA MUONGOZO WA SHEREHE SIKU HIYO PAMOJA NA HISTORIA YA SHULE


















































